- 2:25
Mastaa wa soka wanaomezewa mate na Klabu zaidi ya moja
Swahili Football predictions ✔️ - Mdundo Alt
Lyrics
"Ubora wa mchezaji huonekana akiwa uwanjani. Hili limethibitika kwa wachezaji mbalimbali ambao wamehusishwa na usajili wa timu zaidi ya moja. Ikiwa timu zinazidi kuchuana katika kinyang'anyiro Cha kuwapata wachezaji Bora katika vikosi vyao. Wafuatao ni mastaa wa soka wanaohusishwa na usajili katika zaidi ya timu moja.MARCO ASENSIO
Ni miaka nane inaikaribia kutamatika tangu winga Marco Asensio ajiunge na Real Madrid. Lakini kwa Sasa amekua moja ya wachezaji wanaotamani kuondoka katika kikosi Cha Ancelotti. Arsenal pamoja na Newcastle wako mbioni kuchuana katika kuisaka saini ya nyota huyo wa kihispania. Moja ya hatua za Asensio alizozichukua ni pamoja na kubadili menejimenti yake inayomsimamia ili aweze kupata urahisi wa kuhama Madrid.
View more
Discover more artists
More songs by Swahili Football predictions ✔️ - Mdundo Alt
- Uchambuzi Mechi ya Simba Vs Yanga-ASFC1:28
- Simba Sc, Yanga SC zawaka michuano ya kimataifa0:59
- FAINALI KLABU BINGWA -SAFARI #MdundoKandanda3:10
- Yanga SC Vs Ihefu Sc Ubashiri1:35
- Aziz Ki, Morrison waibeba Yanga1:04
- Upekee wa Jezi mpya za timu ya Yanga2:46
- Uchambuzi Mechi ya Simba Vs Yanga- Ngao ya jamii1:28
- Azam vs Simba - Jumatano1:22
- Yanga yatinga Nusu fainali, Simba Yaaga mashindano CAF1:34
- MDUNDO SPORTS- KENYAN SPORT5:20
- Ifahamu Klabu ya SIMBA Sports club ya nchini Tanzania3:42
- Washindi Tuzo za Kombe la Shirikisho Africa - CAF2:57
- Liverpool Vs Real Madrid UEFA FINAL1:22
- CAF Club Awards - Sports Highlights1:00
- Simba, Yanga washindwa kung'ara kimataifa1:46
- Simba Youth Tanzania yapata wadhamini wapya1:21
- George Mpole kinara wa mabao NBC Premier League1:38
- Taifa Stars na donge nono AFCONS1:02
- Sierra Leone yaweka historia0:27
- Uchambuzi mechi ya Simba Sc Vs Primeiro De Agosto1:55
News
Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.
By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.
Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.