- 2:08
Uchambuzi mechi ya Zalan Fc Vs YANGA
Swahili Football predictions ✔️ - Mdundo Alt
Lyrics
"Mabingwa wa ligi kuu ya NBC nchini Tanzania Young African Sc siku ya Jumamosi waliweza kuwakabili Zalan Fc Rumbek kwa ushindi wa bao 4-0. Mechi hiyo iliyochezwa katika uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam. Katika mchezo huo Fiston Mayele aliweza kuwaka kambani jumla ya magoli matatu na huku Feisal Salum akiweka kambani bao lake la kwanza katika ligi hiyo ya Mabingwa Afrika.Ukiwa ni mzunguko wa kwanza wa awali Yanga waliweza kuutawala mpira kwa 80% katika kipindi cha kwanza licha ya kipindi hicho kuisha bila ya kupata matokeo. Zalan Fc walijikuta wakicheza nusu uwanja na mashambulizi kuwa makali kutokea upande wa Yanga licha ya kujitahidi na kulinda lango lao katika kipindi hicho cha kwanza.
Kwa ujumla katika mchezo huo Yanga ndio walibeba nafasi kubwa ya ushindi. 85% ya mchezo ilitawaliwa na mimba hiyo ya Jangwani huku Zalan wao wakitawala mpira kwa asilimia 15% pekee. Kwa upande wa kona Zalan Fc walipata kona moja huku wao Yanga wakiwa na jumla ya kona 5. Kwa umiliki wa Yanga katika mchezo huo walipata mashuti takribani 14 ya moja kwa moja katika lango la Zalan huku wapinzani wao hao wakiwa na shuti moja pekee katika lango la Yanga.
View more
Discover more artists
More songs by Swahili Football predictions ✔️ - Mdundo Alt
- Uchambuzi Mechi ya Simba Vs Yanga-ASFC1:28
- Simba Sc, Yanga SC zawaka michuano ya kimataifa0:59
- Yanga SC Vs Ihefu Sc Ubashiri1:35
- Aziz Ki, Morrison waibeba Yanga1:04
- FAINALI KLABU BINGWA -SAFARI #MdundoKandanda3:10
- Upekee wa Jezi mpya za timu ya Yanga2:46
- Azam vs Simba - Jumatano1:22
- Uchambuzi Mechi ya Simba Vs Yanga- Ngao ya jamii1:28
- Yanga yatinga Nusu fainali, Simba Yaaga mashindano CAF1:34
- MDUNDO SPORTS- KENYAN SPORT5:20
- Ifahamu Klabu ya SIMBA Sports club ya nchini Tanzania3:42
- Washindi Tuzo za Kombe la Shirikisho Africa - CAF2:57
- Liverpool Vs Real Madrid UEFA FINAL1:22
- CAF Club Awards - Sports Highlights1:00
- Simba Youth Tanzania yapata wadhamini wapya1:21
- Simba, Yanga washindwa kung'ara kimataifa1:46
- George Mpole kinara wa mabao NBC Premier League1:38
- Taifa Stars na donge nono AFCONS1:02
- Sierra Leone yaweka historia0:27
- Uchambuzi mechi ya Simba Sc Vs Primeiro De Agosto1:55
News
Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.
By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.
Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.