Lyrics

"Mabingwa wa ligi kuu ya NBC nchini Tanzania Young African Sc siku ya Jumamosi waliweza kuwakabili Zalan Fc Rumbek kwa ushindi wa bao 4-0. Mechi hiyo iliyochezwa katika uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam. Katika mchezo huo Fiston Mayele aliweza kuwaka kambani jumla ya magoli matatu na huku Feisal Salum akiweka kambani bao lake la kwanza katika ligi hiyo ya Mabingwa Afrika.

Ukiwa ni mzunguko wa kwanza wa awali Yanga waliweza kuutawala mpira kwa 80% katika kipindi cha kwanza licha ya kipindi hicho kuisha bila ya kupata matokeo. Zalan Fc walijikuta wakicheza nusu uwanja na mashambulizi kuwa makali kutokea upande wa Yanga licha ya kujitahidi na kulinda lango lao katika kipindi hicho cha kwanza.
Kwa ujumla katika mchezo huo Yanga ndio walibeba nafasi kubwa ya ushindi. 85% ya mchezo ilitawaliwa na mimba hiyo ya Jangwani huku Zalan wao wakitawala mpira kwa asilimia 15% pekee. Kwa upande wa kona Zalan Fc walipata kona moja huku wao Yanga wakiwa na jumla ya kona 5. Kwa umiliki wa Yanga katika mchezo huo walipata mashuti takribani 14 ya moja kwa moja katika lango la Zalan huku wapinzani wao hao wakiwa na shuti moja pekee katika lango la Yanga.

View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up