- 1:44
Ubashiri mechi ya Norwich City Vs West Ham Jumapili hii
Swahili Football predictions ✔️ - Mdundo Alt
Lyrics
"Norwich City wanakwenda kukichapa dhidi ya West Ham United Jumapili hii ya Mei 8 katika uwanja wa Carrow Road Stadium huko Norwich City England ikiwa ni mchezo wa Ligi kuu England.Norwich ambayo kwa Sasa inashika nafasi ya 20 inajiweka katika Hali ngumu ya kushuka daraja katika ligi hiyo wanavaana na West Ham ambao wako nafasi ya 7 ambayo kwa wao inawaweka katika eneo zuri la kushiriki Europa Conference league kwa msimu ujao.
Kocha wa Norwich Dean Smith alithibitisha katika mkutano wake na waandishi wa habari kabla ya kucheza kwa West Ham United kuwa kwa upande wa majeruhi McLean amevunjika kidole cha mguu na atalazimika kuvaa kiatu cha kujikinga hivyo anauwezekano wa kushiriki katika mechi hiyo huku Sargent amezidisha jeraha lake la kifundo cha mguu na hataweza kushiriki katika mechi za msimu zilizosalia na hii inaowafanya waungane na Adam Idah na Andrew Omobamidele kutafuta kujitayarisha kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao wa 2022/23.
View more
Discover more artists
More songs by Swahili Football predictions ✔️ - Mdundo Alt
- Uchambuzi Mechi ya Simba Vs Yanga-ASFC1:28
- Simba Sc, Yanga SC zawaka michuano ya kimataifa0:59
- Yanga SC Vs Ihefu Sc Ubashiri1:35
- FAINALI KLABU BINGWA -SAFARI #MdundoKandanda3:10
- Aziz Ki, Morrison waibeba Yanga1:04
- Uchambuzi Mechi ya Simba Vs Yanga- Ngao ya jamii1:28
- Azam vs Simba - Jumatano1:22
- Upekee wa Jezi mpya za timu ya Yanga2:46
- MDUNDO SPORTS- KENYAN SPORT5:20
- Yanga yatinga Nusu fainali, Simba Yaaga mashindano CAF1:34
- Ifahamu Klabu ya SIMBA Sports club ya nchini Tanzania3:42
- Liverpool Vs Real Madrid UEFA FINAL1:22
- Washindi Tuzo za Kombe la Shirikisho Africa - CAF2:57
- CAF Club Awards - Sports Highlights1:00
- Simba Youth Tanzania yapata wadhamini wapya1:21
- Simba, Yanga washindwa kung'ara kimataifa1:46
- Taifa Stars na donge nono AFCONS1:02
- George Mpole kinara wa mabao NBC Premier League1:38
- Majeruhi Brazil kuelekea kombe la dunia1:31
- Uchambuzi mechi ya Simba Sc Vs Primeiro De Agosto1:55
News
Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.
By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.
Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.