Lyrics

"Kuelekea kombe la dunia lililobakiza siku chache kuanza huko Qatar, timu ya taifa ya Brazil ambao pia ni washindi wa kombe hilo mara tano dunia, Brazil wamepata pigo kwa kuwa na majeruhi katika kikosi chao ambao wanawafanya wakose moja kati ya wachezaji muhimu katika kikosi hicho cha timu ya Taifa..

Moja kati ya majeruhi ni mshambuliaji anayekipiga huko Tottenham hotspurs Richardison ambaye aliripotiwa kuumia wakati Spurs walipokuwa wakicheza na Everton. Ripoti kutoka kwa kocha wa Spurs Antonio Conte amesema ya kuwa mchezaji huyo atakuwa tayari kushiriki kombe la dunia kwani majeraha hayo yatakuwa sawa kwa wakati huo.

Majeruhi mwengine ni kiungo Arthur Melo kiungo kutokea Juventus anayekipiga huko Liverpool ya Uingereza kwa mkopo. Mchezaji huyo ameripotiwa kukosa mashindano hayo na kuwa majeraha hayo ya paja ni majeraha ya muda mrefu na yatamgharimu kushiriki kombe hilo la dunia nchini Qatar.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up