- 1:18
Ubashiri mechi ya Manchester United Vs Westham United
Swahili Football predictions ✔️ - Mdundo Alt
Lyrics
"Mbio zingine Tena zinaendelea katika kombe la FA wakati Manchester United watakapo vaana na Westham United ukiwa ni mzunguko wa tano wa kinyang'anyiro cha kombe hilo.Huu utakuwa mchezo wa kwanza Baada ya Mashetani hao wekundu kushinda kombe la Carabao siku ya Jumapili dhidi Newcastle na ushindi huo wakiutaja kama ni mbio za vikombe vingine ikiwemo Kombe la FA.
West ham Kwa upande wao wanajitahidi kujikongoja katika ligi wakipoteza mchezo mmoja, wakitoa sare michezo miwili na kushinda mechi mbili katika michezo mitano ya hapo kabla. Kwa upande wa kutoshana nguvu United na Westham, Mashetani wekundu wameshinda michezo minne na West Ham kushinda mchezo mmoja katika michezo mitano ya hapo awali.
View more
Discover more artists
More songs by Swahili Football predictions ✔️ - Mdundo Alt
- Uchambuzi Mechi ya Simba Vs Yanga-ASFC1:28
- Simba Sc, Yanga SC zawaka michuano ya kimataifa0:59
- FAINALI KLABU BINGWA -SAFARI #MdundoKandanda3:10
- Aziz Ki, Morrison waibeba Yanga1:04
- Yanga SC Vs Ihefu Sc Ubashiri1:35
- Upekee wa Jezi mpya za timu ya Yanga2:46
- Uchambuzi Mechi ya Simba Vs Yanga- Ngao ya jamii1:28
- Azam vs Simba - Jumatano1:22
- Yanga yatinga Nusu fainali, Simba Yaaga mashindano CAF1:34
- MDUNDO SPORTS- KENYAN SPORT5:20
- Ifahamu Klabu ya SIMBA Sports club ya nchini Tanzania3:42
- Liverpool Vs Real Madrid UEFA FINAL1:22
- Washindi Tuzo za Kombe la Shirikisho Africa - CAF2:57
- CAF Club Awards - Sports Highlights1:00
- Simba, Yanga washindwa kung'ara kimataifa1:46
- Simba Youth Tanzania yapata wadhamini wapya1:21
- George Mpole kinara wa mabao NBC Premier League1:38
- Taifa Stars na donge nono AFCONS1:02
- Sierra Leone yaweka historia0:27
- UEFA Nations League; Italy, England, wales, Belgium1:39
News
Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.
By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.
Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.