Lyrics

"Mbio zingine Tena zinaendelea katika kombe la FA wakati Manchester United watakapo vaana na Westham United ukiwa ni mzunguko wa tano wa kinyang'anyiro cha kombe hilo.

Huu utakuwa mchezo wa kwanza Baada ya Mashetani hao wekundu kushinda kombe la Carabao siku ya Jumapili dhidi Newcastle na ushindi huo wakiutaja kama ni mbio za vikombe vingine ikiwemo Kombe la FA.

West ham Kwa upande wao wanajitahidi kujikongoja katika ligi wakipoteza mchezo mmoja, wakitoa sare michezo miwili na kushinda mechi mbili katika michezo mitano ya hapo kabla. Kwa upande wa kutoshana nguvu United na Westham, Mashetani wekundu wameshinda michezo minne na West Ham kushinda mchezo mmoja katika michezo mitano ya hapo awali.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up