Lyrics

"Moto umeendelea kuwawakia mashetani wekundu Manchester United baada ya kupata kipigo Cha bao 4 kwa 0 dhidi ya Brentford. Ni katika kipindi Cha kwanza Cha mchezo ambacho kilimpati alama 3 Brentford.

Mechi hiyo ilichezwa katika uwanja wa nyumbani wa Brentford huku kiungo mshambuliaji wa Manchester United Christian Eriksen akishindwa kufurukuta dhidi ya timu hiyo aliyoitumikia msimu uliopita.

Suala hili linazidi kumuumiza akili Erik Ten Hag ambaye ameuanza msimu huu wa EPL vibaya Akitokea Ajax aliyekuwa akiinoa huko Nerthalands kwa kufungwa mechi mbili mfululizo mwanzoni mwa ligi.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up