Lyrics

"Manchester United imeendelea kuonja joto la jiwe katika majira haya ya joto katika dirisha la usajili. Hii imekuja baada ya timu hiyo kuondokewa na wachezaji wake mbalimbali waliomaliza mikataba yao na timu hiyo kushindwa kufanya usajili mpya. Wachezaji hao ni Kama vile Paul Pogba, Nemanja Matic, Dean Henderson pamoja na Juan Mata na wengine

Cristiano Ronaldo mshambuliaji wa timu hiyo anasemekana kutaka kuondoka katika viunga vya Old Trafford. Hii imekuja baada ya timu hiyo kuanza mazoezi ya mechi za kabla ya msimu kuanza licha ya kutokufanya usajili wowote.

Mshindi huyo wa tuzo tano za Balon dior ameonesha kutokupendezwa na Hali ya timu hiyo ya kutokufanya usajili mpaka Sasa licha ya kupungukiwa na wachezaji wengi baada ya mikataba yao kuisha.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up