Lyrics

"Winga wa Timu ya Taifa ya Brazil na pia Timu ya Paris Saint Germain ya Ufaransa Neymar Jr. (30) Huenda akaondoka katika viunga vya Les Parc des Princes katika usajili wa majira haya ya joto

Taarifa hizi zimezuka baada ya Rais wa Klabu hiyo Nasser Al-Khelaifi kuonesha Hali ya kutotaka kuendelea na mchezaji huyo wakati wa mahojiano yake na Le Parisien.

Rais huyo wa PSG kwenye mahojiano hayo alipoulizwa kuhusu Neymar alisema ""tunategemea wachezaji wetu wafanye vizuri zaidi ya msimu uliopita"". Na Neymar kwa msimu uliopita akifunga mabao 13 pekee na kutengeneza pasi 8 za usaidizi wa magoli katika michuano yote akiwa na PSG kwa msimu uliopita.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up