- 1:30
Uchambuzi Mechi ya Tanzania Vs Algeria-AFCON
Swahili Football predictions ✔️ - Mdundo Alt
Lyrics
"Katika kuwania nafasi ya kushiriki Kombe la mataifa ya Afrika (AFCON), usiku wa Jumatano Tanzania iliwakaribisha Algeria katika uwanja wa Benjamin Mkapa, mechi iliyochezwa majira ya jioni na matokeo kuisha kwa Tanzania kupata kichapo Cha bao 2-0 dhidi ya Algeria.Katika mchezo huo Tanzania ameshindwa kuokota alama zozote ikiwa ni mechi yao ya pili katika kundi F baada ya kucheza na Niger mechi ambayo ikiisha kwa sare ya bao 1-1 na kuondoka kwa kugawama alama moja moja.
Katika mchezo huo wa Tanzania dhidi ya Algeria takwimu zinaonesha umiliki wa mpira kwa upande Tanzania ni 48.4% akizidiwa na Algeria ambao wao wakimiliki mpira kwa 51.6%, kwa upande wa kona Tanzania walipata Kona 3 huku Algeria wakifanikiwa kupata kona 1, Mashuti ya moja kwa moja Tanzania walikuwa nayo 2 na wao Algeria wakifanikiwa kupata mashuti 3, kadi za njano kwa Tanzania zilikuwa 2 huku Algeria wakipata Kadi 3 na katika mchezo huu Hakuna kadi nyekundu iliyotolewa kwa pande zote mbili.
View more
More songs by Swahili Football predictions ✔️ - Mdundo Alt
- Azam vs Simba - Jumatano1:22
- Simba Sc, Yanga SC zawaka michuano ya kimataifa0:59
- Uchambuzi Mechi ya Simba Vs Yanga-ASFC1:28
- FAINALI KLABU BINGWA -SAFARI #MdundoKandanda3:10
- Aziz Ki, Morrison waibeba Yanga1:04
- CAF Club Awards - Sports Highlights1:00
- Uchambuzi Mechi ya Simba Vs Yanga- Ngao ya jamii1:28
- Yanga SC Vs Ihefu Sc Ubashiri1:35
- MDUNDO SPORTS- KENYAN SPORT5:20
- Simba waangukia pua, Yanga yang'ara2:24
- Simba, Yanga washindwa kung'ara kimataifa1:46
- Yanga yatinga Nusu fainali, Simba Yaaga mashindano CAF1:34
- Tetesi za usajili wa mastaa wa soka Ulaya3:11
- Ifahamu Klabu ya SIMBA Sports club ya nchini Tanzania3:42
- Washindi Tuzo za Kombe la Shirikisho Africa - CAF2:57
- CAF Awards 2022 - CLUB Awards1:00
- Yanga yajibu mashambulizi ya Sportpesa1:37
- Taifa Stars na donge nono AFCONS1:02
- Arsenal FC Bio1:35
- Ubashiri mechi ya Vipers SC Vs Simba Sc1:41
News
Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.
By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.
Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.