Lyrics

"Nahodha wa timu ya Taifa ya Misri na winga wa timu ya Liverpool Mohamed Salah ameshinda Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka kwa kampeni ya Ligi Kuu kwa mwaka 2021/22 inayotolewa na Chama Cha wachezaji mpira wa kulipwa Professional Footballer Association (PFA)

Ikiwa ni Mara yake ya pili kushinda tuzo hiyo baada kushinda katika msimu wa mwaka 2017/18, kinara huyu wa magoli katika Ligi ya Uingereza ameweza kuisaidia Liverpool kunyakua ubingwa wa Carabao Cup pamoja FA Cup kwa msimu huu na pia katika Ligi ya mabingwa Ulaya ameweza kuisaidia Liver kufika fainali na kushindwa kunoa dafu mbele ya Real Madrid.

Kwa timu ya Taifa pia Salah ameweza kufika fainali akiwa na timu yake ya Taifa ya Misri kwa mwaka huu Ila wakashindwa kutunisha misuli mbele ya Senegal, timu ambayo Sadio Mane mchezaji mweza wa Liverpool anaichezea.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up