Lyrics

"Ni katika uwanja wa Stade de France fainali za Mabingwa wa Ulaya zilipofanyika katika jiji la Paris siku ya Jumamosi,siku ambayo Liverpool ya Uingereza walipovaana na Real Madrid ya Uhispania na dakika 90 zikakamilika na sauti zilizotamba kwa mawanda mapana kwa wakati huo ni HALLA MADRID.

Ni ubingwa wa 14 kwa vinara hao wa La Liga Real Madrid baada ya safari yao ya ubingwa waliopita kupambana na vibonde wa Uingereza kwani hatua ya robo fainali walimtoa bingwa mtetezi wa ubingwa huo Chelsea na nusu fainali walipopambana katika come back ya kibabe na hatimaye kumtoa Manchester City huku fainali walipokutana Tena na Liver na wao ndio waliowapa ubingwa kwa kutia kambani goli dakika ya 56, goli lililofungwa na Viniciur Jr kinda wa kibrazili baada ya kupata cross Makini Sana kutoka kwa Federico Valverde.

Katika mchezo huu Liver wao walikuwa wanatafuta ubingwa mbele ya Real Madrid Kama kulipiza kusasi Cha 2018 walipotolewa na Madrid 3-1 na pia Mo Salah akitolewa nje baada ya kupata majeraha ya bega.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up