Lyrics

"Baada ya mbio ndefu za msimu wa Ligi kuu ya Uingereza kufikia tamati Jumapili hii Sasa Basi mabingwa Manchester City wameweza kutetea ubingwa wao katika msimu huu Tena na kuwa ndio kombe pekee la ndani na njee kwa msimu huu walilopata.

Haikuwa kazi ndogo kwa City katika mchezo huo kwani katika kipindi Cha kwanza Cha mchezo huo Aston Villa waliongoza katika kipindi hicho Cha kwanza kupitia kwa beki wake wa pembeni Matty Cash katika dakika ya 37 na katika dakika ya 69 ya kipindi Cha pili Aston pia waliongeza goli kupitia kwa kiungo mshambuliaji Philippe Coutinho waliomchukua kwa mkopo kutoka Barcelona na Sasa wameamua kumnunua kabisa.

Lakini Sasa City baada ya kuona Hali si swari na ni Kama vile tonge linapokonywa mdomoni baada ya vijana wa Steven Gerald kuwapelekea Moto ndipo Sub ya Ilkay Gundogan kuleta shamra shamra katika kipindi Cha pili kwa kufunga magoli mawili katika dakika ya 76 na 81 huku Rodri akifunga katika dakika ya 78 na huu ni ushindi wa City ndani ya dakika 5 tu.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up