Lyrics

"Fainali za Ubingwa wa FA Cup zimekamilika baada ya Liverpool kuchukua ubingwa huo mbele ya Chelsea kwa mikwaju ya Penalti.Hii ni baada ya dakika 90 kuisha bila ya kufungana na dakika za nyongeza pia kuisha na Sasa mikwaju hiyo ya penalti ndiyo iliyoamua mshindi katika uwanja wa Wembley Stadium.

Katika mchezo huo ambao katika suala la mashamulizi yalikua ni hatari kwa pande zote mbili zenye uchu wa matokeo umiliki wa mpira kwa Chelsea ulikua wa 45.5% huku Liverpool wao wakimiliki mpira kwa 54.5%.

Kwa upande wa mashuti ya moja kwa moja Chelsea walipiga mashuti 4 huku Liverpool wao walipiga mashuti 6, katika Kona Chelsea walipata Kona 2 Ila Liverpool wao wakipata jumla ya Kona 11, Na offside Chelsea walikua na jumla ya Offside 7 Liver wakipata Offside 1 tu.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up