Lyrics

"Mzunguko wa kwanza wa robo fainali ligi ya mabingwa Ulaya umekamilika kwa Real Madrid pamoja na Chelsea. Kwa mara nyingine tena Real Madrid wamewaondoa Chelsea katika hatua ya robo fainali ligi ya Mabingwa Ulaya na awamu hii ni kwa ujumla wa mabao 4-0.

Kwa mzunguko wa pili, ushindi wa mabao mawili uliwapata Madrid, ilikuwa kazi mahiri kabisa iliyofanywa na winga wa timu hiyo Rodrygo katika kipindi cha pili cha mchezo baada ya dakika ya 58 pamoja na ile ya 80 kabla ya kufanyiwa mabadiliko na kuingizwa Marco Asensio.

Chelsea umiliki wa mpira ulilalia upande wao wakiwa na asilimia 54 huku Madrid wao wakipata asilimia 46 na wakipata jumla ya mashuti sita kwa kila timu kuelekea lango pinzani. Kadi za njano pia zilikuwepo The Blues kupata kadi 3 na kadi moja ya njano kwa upande wa Real Madrid.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up