Lyrics

"Mchezaji wa Bayern Munich Sadio Mane ameripotiwa kumshambulia mchezaji mwenza wa timu hiyo Leroy Sane mara baada ya mchezo wao dhidi ya Manchester City kukamilika kwa ushindi wa bao 3-0 ushindi walioupata City katika uwanja wa Etihad.


Kipigo hicho kilipelekea mchezaji huyo kutokea na damu na pia wechezaji wengine wa timu ya Bayern Munich ndio waliofanikiwa kuwatenganisha wachezaji hao wakati walipokuwa katika chumba cha kubadilishia nguo.

View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up