Lyrics

"Robo fainali ligi ya mabingwa Afrika pamoja na Kombe la shirikisho tayari imeshabisha hodi huku mitanange hiyo ikitarajiwa kuanza kutimua vumbi kuanzia tarahe 21 kwa mzunguko wa kwanza na kutamatika tarehe 29 katika mzunguko wa pili mwezi huu wa April.

Katika droo hiyo iliyofanyika usiku wa April 05 2023, huko Cairo nchini Misri imezikutanisha timu kubwa barani Afika ambazo baadhi yao zimefanikiwa kkutinga katika hatua hiyo kwa mara ya tano mfululizo Ligi ya mabingwa Afrika. Baadhi ya timu hizo ni kama vile Simba Sc, Mamelodi Sundown, Esperance, Al Ahly pamoja na Wydad Casablanca wakiwa ndio mabingwa watetezi.

Baada ya droo hiyo kuchezeshwa Mamelodi Sundown watakutana na CR Belouizdad, Wydad Casablanca dhidi ya Simba Sc, JS Kabylie dhidi ya ES Tunis sambamba na Raja Casablanca dhidi ya Al Ahly.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up