Lyrics

"Mzunguko wa 29 Bundesliga imekamilika kwa Bayern Munich kurejea kileleni mara baada ya kuwachakaza Borussia Dortmund kwa ushindi wa bao nne kwa mbili.

Katika mchezo huo Bayern waliianza safari vyema wakiwa na Mwalimu wao mpya Thomas Tuchel katika mchezo wa kwanza ambao umekua neema ya Thomas tangu amalizane na Chelsea.

Bayern Munich walianza ufunguzi wa mabao katika kipindi cha kwanza mara baada ya kupata goli la kwanza kutoka kwa Gregor Kobel mara baada ya kujifunga katika dakika ya 13.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up