Lyrics

"Mtanange wa kukata na shoka unatarajiwa kutimua vumbi pale ambapo Bayern Munich wanapokutana n Borussia Dortmund katika uwanja wa Allianz Arena katika mzunguko wa 26 Bundesliga.

Katika mchezo huo Bayern Munich wanaanza wakiwa na kocha wao mpya Thomas Tuchel aliyeingia mkataba mpya mara baada ya Julian Nagelsmann kutimuliwa na uongozi wa klabu hiyo.

Tumaini kwa Borussia Dortmund ni kubaki katika nafasi waliyopo kwa sasa wakiwa kileleni mwa ligi hiyo ya Ujerumani wakipishana alama Moja pekee na Munich.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up