Lyrics

"Mwisho wa wiki ndiyo huu na michezo mbalimbali itatimua vumbi katika maeneo tofauti tofauti katika ligi kuu Tanzania bara. Baadhi ya michezo itakayochezwa ni pamoja na ifuatayo

Siku ya Jumamosi katika uwanja wa Mangungu mkoani Morogoro Simba watakuwa wageni dhidi ya Mtibwa Sugar. Katika mchezo huo Simba akiwa nafasi ya pili anakwenda kwa lengo la kutafuta alama zingine ili angalau aweze kujiweka katika nafasi nzuri zaidi ya kumpiku Yanga ubingwa. Odds za Simba kushinda mchezo huu ni 1.38

Namungo wakiwa katika viwanja vya nyumbani wanakipiga dhidi ya Tanzania Prison katika nyasi za Majaliwa Stadium. Prison kwa sasa wako katika hatihati za kushuka daraja hivyo mchezo wowote kwao ulio mbele yao ni muhimu zaidi. Odds za Namungo kushinda au kutoa sare ni 1.62
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up