Lyrics

"Usiku wa Februari 27 tuzo za FIFA zilitolewa huko Paris na Argentina wameng'ara zaidi katika tuzo hizo wakiondoka wakiwa wamebeba tuzo zaidi ya nne katika Jiji Hilo la mitindo nchini Ufaransa. Wafuatao ni washindi wa tuzo hizo zinazotolewa na FIFA.

MCHEZAJI BORA WA FIFA WANAUME
Akiwapiga chini Karim Benzema pamoja na Kylian Mbappe, Lionel Messi ameibuka mshindi wa tuzo hiyo ya mchezaji Bora Kwa upande wa wanaume. Hili limekuja kutokana na mchango wake mkubwa katika timu yake ya Taifa kwa kuifanikisha Kushinda kombe la dunia na kuondoka kama mchezaji Bora katika mashindano hayo yaliyofanyika mwishoni mwaka 2022.

View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up