Lyrics

"Mkurugenzi wa klabu ya Borussia Dortmund Sebastian Kehl ameuthibitishia umma kwa kuweka waza juu ya taarifa za klabu hiyo kutaka kuongeza mkataba na kiungo Jude Bellingham katika viunga vya Signal Iduna Park.

Taarifa hiyo aliiweka hadharani wakati wa mahojiano dhidi ya kituo cha habari Cha ZDF kutokea Ujerumani na kusema kwa sasa mchezaji huyo mwenye uraia wa Uingereza amejikita katika mpira na uongozi wa timu hiyo wakijipanga kwa ajili ya mahojiano ya kuongeza mkataba wake yatakayofanywa huku familia yake ikihusishwa.

Mwaka 2020 Jude alijiunga na Borussia Dortmund akitokea Birmingham ya Uingereza na akiwa Dortmund amekuwa mmoja wa wachezaji wenye umri mdogo pamoja na uwezo mkubwa akiwa uwanja huku nidhamu yake ikipelekea Kupewa kitambaa Cha unahodha. Pia kutokana na kiwango hicho kimemfanya kucheza kombe la Dunia mwaka 2022 akiwa na timu ya Taifa ya Uingereza na dau la Jude limezidi kwenda hewani tangu mashindano hayo ya kombe la Dunia kukamilika.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up