Lyrics

"Wikiendi hii ni yenye burudani sana ambapo mitanange mbalimbali ya ligi kuu nchini Tanzania itachezwa siku ya Jumamosi pamoja na Jumapili huku Young Africans sports club wakiendelea kuendesha usukani wa ligi kuu hiyo.

Coastal Union wakiwa katika uwanja wa Mkwakwani watakutana na wajelajela Tanzania Prison siku ya Jumamosi huku timu zote mbili zikiwa katika Hali ya kusuasua kushuka daraja. Odds za Coastal kushinda au kutoa sare ni 1.23

Mtanange mwingine utakaopigwa siku ya Jumamosi ni kati ya Wanalambalamba Azam Fc ambao wao watakuwa katika uwanja wao wa Azam complex jijini Dar es salaam dhidi ya Kinondoni Mc. Azam katika mchezo wao wa ligi kuu uliopita waliikubali sare na Simba huku wakiwa na alama 44 sawa na Singida big Stars. KMC wao hawako vizuri sana baada ya kupoteza michezo minne kati ya mitano na kutoa sare mchezo mmoja. Odds zilizotolewa kwa Azam kushinda au kutoa sare ni 1.11
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up