Lyrics

"Baada ya wawakilishi wa Tanzania katika ligi ya mabingwa Afrika Simba kumalizana na Casablanca siku ya Jumamosi, ni zamu ya wawakilishi wengine kutokea Tanzania Young Africans sports club nao kucheza dhidi ya TP Mazembe katika uwanja wa Mkapa siku ya Jumapili.

Wakiwa kundi B tayari Yanga wanakipigo Cha bao 2 kwa sifuri dhidi ya SC Monastir kutokea Tunisia. Hivyo matokeo katika uwanja wa nyumbani kwa Yanga ni kitu Cha kujihakikishia.

Pia Kuna taarifa zilisambaa ya kuwa TP Mazembe waliuhitaji uwanja wa Mkapa siku Moja Kabla ya mechi yao kwa ajili ya mazoezi Lakini ombi Hilo lilishindikana kutokana na Sababu mbalimbali ikiwemo kutumika kwa uwanja huo katika mechi ya Simba dhidi ya Raja Casablanca.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up