Lyrics

"Pumzi haishushwi mara Baada ya wikiendi hii wekundu wa msimbazi Simba wakiingia dimbani kumenyana na Raja Casablanca katika uwanja wa Benjamin Mkapa siku ya Jumamosi katika mechi za makundi Klabu bingwa Afrika.

Casablanca wakifunga safari kutokea Morocco wanawafuata Simba katika kundi C Baada ya kushinda mchezo wao wa kwanza katika kundi hilo dhidi Vipers SC kutokea nchini Uganda kwa ushindi wa bao tano kwa sifuri na sasa ni zamu ya Simba kuonesha makali Yao dhidi ya vibonde hao.

Wekundu wa Msimbazi nao baada ya kupokea kipigo Cha bao Moja kwa sifuri wakiwa ugenini huko Guinea walipokutana na Horoya AC, Wanakazi ya kufanya dhidi ya Raja Casablanca huku mchezo huo ukiwa haujalalia sana upande wao.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up