Lyrics

"Baada ya ushindi wa Manchester City dhidi ya Arsenal, sasa timu hiyo imepaa Moja kwa Moja Hadi kileleni na kushika usukani wa Ligi kuu ya Uingereza.

City ambao pia ni mabingwa watetezi wa ligi kuu hiyo wameweza kuwapiku Arsenal baada ya ushindi wa mabao matatu kwa Moja mchezo uliopigwa katika viwanja wa Emirates stadium. Katika mchezo huo Arsenal waliopata bao lao la kufutia machozi kwa mkwaju wa penalti uliowekwa kambani na Bukayo Saka.

Sasa basi wakati wa uchambuzi wa mechi mbalimbali uliowahusisha wachambuzi ngulu wa soka kutokea CBS Sports Golazos ambao ni Thierry Henry, Jamie Carragher, Micah Richards wakiongozwa na mwanadada Kate Abdo waliweza kugusia suala la Erling Halaand na upatikanaji wa mabao yake katika mechi za City.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up