Lyrics

"Wakati ambao wapendanao watakuwa wakisheherekea siku ya Valentine tarehe 14 Februari wapenzi wa mpira wao watakuwa na furaha mara baada ya kurejea kwa ligi ya Mabingwa Ulaya.

Mchezo wa kwanza wa 16 Bora utamkutanisha PSG dhidi ya Bayern Munich ambapo PSG atakuwa nyumbani katika uwanja wa Parc des Princes Ufaransa.

Kwa sasa PSG Bado wana majonzi baada ya kutokuwa na uhakika wa kurejea kwa mchezaji wake mashughuri katika safu ya mashambulizi ambaye ni Kylian Mbappe ambaye walipata majeraha sambamba na wachezaji wengine kama Renato Sanches pamoja na Nordi Mukiele na huku pia Messi akiwa hati hati kushiriki mchezo huo.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up