Lyrics

"Vinara wa ligi ya Bundesliga Bayern Munich wakiwa katika viwanja vyao vya Allianz wana kuwa wenyeji wa VFL Bochum katika mzunguko wa 20 wa ligi hiyo.

Bayern Wana nafasi zaidi ya kubeba mkononi alama tatu mara baada ya kushinda michezo minne kati ya mitano waliyokutana hapo awali huku bayern pia wakiwa na ushindi mkubwa katika baadhi ya mechi.

Licha ya kuwa na majeruhi Bado Bayern Munich wamezidi kubaki kileleni katika ligi, na sasa wamekamilisha dirisha dogo la usajili mwezi Januari baada ya kuongeza nguvu na kusajili wachezaji kama Joao cancelo kwa mkopo pamoja na Yann Sommer.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up