Lyrics

"Ni muda wa miezi mitatu Sasa umeshapita na Jadon Sancho ndipo anarejea uwanjani katika kikosi Cha Erik Ten Hag tangu mechi yake ya mwisho kushiriki mwezi October katika mchezo dhidi ya Chelsea.

Sancho alilazimika kukaa nje ya Uwanja kwa kile kilichotajwa kuwa ni msongo wa mawazo aliokuwa nao baada ya kuona kiwango chake uwanjani hakileti tija kwa timu yake ya Manchester United kama alivyotarajia na kumfanya aanzishiwe programu yake mwenyewe ya mazoezi ili kumrejesha katika hali yake ya kawaida.

Katika mchezo wa United Sancho aliingia uwanjani akitokea benchi huku kocha wa timu hiyo Erik Ten hag akiongea nae kabla ya Antony kuwasili na kumuacha nafasi yake winga huyo katika mchezo dhidi ya Nottingham Forest. Wakati alipokuwa akiingia uwanja mashabiki walisikika wakitoa sauti ya kushangilia jina lake Sancho, Sancho, Sancho…..
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up