Lyrics

"Dirisha dogo la usajili hatimaye lilifungwa juzi huku siku ya mwisho wa ufungwaji wa dirisha hilo kukiwa na pilikapilika za hapa na pale kwa vilabu kuziba mapengo katika vikosi vyao kabla ya kufungwa kwa dirisha hilo.

Klabu ya Chelsea ambayo ilikuwa katika harakati za kumsajili nyota kutokea Benfica Enzo Fernandez hatimaye nafsi zao zitatulia kwa amani baada ya kukamilisha usajili huo katika dakika za lala salama na kumnyakua kwa Euro milioni 107.

Lakini kabla ya taratibu zote kukamilika Benfica walishawahi kuwatuhumu Chelsea kwa kutokuwa na heshima katika usajili huo na kuchangia kuwa na mlolongo mrefu juu ya usajili wa mchezaji huyo.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up