Lyrics

"Klabu ya soka ya Simba hatimaye imefanikiwa kumpata Mwenyekiti wa klabu hiyo baada ya kukamilisha uchaguzi uliofanyika siku ya Jumapili katika ukumbi wa mikutano wa Julius Nyerere International Convertion Center (JNICC)

Baada ya zoezi la kuhesabu kura kukamilika katika uchaguzi huo mwenyekiti wa kamati ya uchaguzi huo Boniface Lihamwike alimtangaza Murtaza Mangungu kuchaguliwa kuwa mwenyekiti wa Wekundu wa Msimbazi kwa jumla ya kura 1311 akimpiku mpinzani wake Moses Kaluwa aliyepata jumla ya kura 1045.

Pia Mwenyekiti wa uchaguzi aliwataja wajumbe walioshinda katika nafasi hizo ambao ni pamoja na Dr. Seif Ramadhan Muba, Asha Baraka, CPA Issa Masoud Iddi, Rodney Chiduo pamoja na Seleman Hatubu.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up