Lyrics

"Klabu ya soka ya nchini Sudan, Al Hilal imewasili jijini Dar es Salaam siku ya Jumatano kwa lengo la kuweka kambi kwa ajili ya michuano ya klabu bingwa Afrika katika hatua ya makundi itakayoanza mwezi Februari.

Ujio wa timu hiyo ni kutokana na kuwepo kwa ushirikiano kati ya klabu ya AL hilal dhidi ya klabu ya Simba mara baada ya kuingia mkataba wa mahusiano na mashirikiano huku kukiwa na maeneo saba yaliyohusisha mkataba huo.

Kabla ya kucheza na Simba katika mchezo wa mwisho wa kirafiki katika uwanja wa Benjamin Mkapa Al Hilal wataanza mechi za awali na mchezo wao wa kwanza wataucheza dhidi ya Namungo Fc huku ikifuata mechi yao dhidi ya wanalambalamba Azam Fc na michezo yote hii itachezwa katika uwanja wa Azam Complex, Chamazi.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up