Lyrics

"Kocha Mkuu wa klabu ya Simba SC Roberto Oliviera, amefungasha virago vyake na kuelekea nchini kwao Brazil siku ya jana baada ya mechi ya Simba dhidi ya Dodoma Jiji, mechi iliyoisha kwa Simba kushinda bao 1-0.

Kwa mujibu wa Gazeti la Mwanaspoti limeeleza sababu za kuondoka kwa Robertinho kuwa ni kuisha kwa muda wa pasipoti yake ya kusafiria, hivyo kulazimika kurudi Brazil ili kufuatilia taratibu za pasipoti kutokana na kutokuwa na ubalozi wa Brazil nchini Tanzania.

Kuondoka kwa Robertinho kunamuachia majukumu mzawa Juma Mgunda ambaye amejiwekea Imani katika klabu hiyo kutokana na jinsi alivyoiendesha Simba kwa miezi kadhaa hapo nyuma, na atashirikiana na makocha wengine pamoja na benchi zima la ufundi
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up