Lyrics

Klabu ya soka ya Simba Sc kutokea Tanzania imekamilisha taratibu zote na kumwajiri kocha msaidizi Ouanane Sellami (42) mwenye asili ya Tunisia.

Ujio wa kocha huyo kumetajwa kuwa moja katii ya mapendekezo ya kocha mkuu wa timu hiyo Robertinho ambaye pia ameonesha kuwa na mikakati ya kimegeuzi katika klabu hiyo ya wekundu wa msimbazi.

Kabla ya kujiunga na wekundu wa Msimbazi Sellami mwenye liseni ya daraja B (CAF) amefanikiwa kufundisha vilabu kama vile Almadina ya Libya pamoja na Gabesien kutokea nchini Tunisia.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up