Lyrics

Moja kati ya Jumapili zenye uhondo wa aina yake ni Jumapili hili ambayo michezo ya FA inachezwa na moja kati ya mechi Kali zaidi ni mchezo wa Manchester City ambao watakutana na Chelsea katika uwanja wa Etihad.

Siku ya Alhamis timu hizi mbili zilikutana katika mchezo wa ligi kuu na Pep Guardiola akafanikiwa kuondoka na alama tatu baada ya kushinda bao 1-0 mbele ya Graham Potter na kikosi chake na baada ya mapumziko ya siku mbili wanakutana Tena.

Licha ya kuwa na baadhi ya majeruhi lakini pia Chelsea katika mchezo wao dhidi ya City waliongeza majeruhi wengine ambao ni Raheem sterling pamoja na Christian Pulisic. Aidha pia wachezaji kadhaa kutokea majeruhi watarejea katika mchezo huo ambao ni Ruben Loftus-Cheek, Mason Mount, Ben Chilwell pamoja na Wesley Fofana
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up