Lyrics

"Taarifa za kuhuzunisha kwa timu ya Taifa ya Senegal zimejiri baada ya mshambuliaji wa timu hiyo Sadio Mane kupata majeraha ya goti wakati timu yake ya Bayern Munich ilipokuwa ikicheza na Werder Bremen na kuibuka na ushindi wa mabao 6 kwa moja.

Mchezaji huyo ambaye ni moja ya wachezaji wa kikosi cha kwanza katika timu ya Taifa ya Senegal alilazimika kutolewa nje ya uwanja baada ya dakika 15 pekee za mchezo baada ya majeraha hayo na kumfanya kocha Julian Negelsman kumuingiza Leroy Sane uwanjani.

Majeraha hayo yamejiri baada ya kombe la dunia litakalofanyika nchini Qatar kubakiza siku kumi na tatu pekee lianza kutimua vumbi na kama Mane kama hatoweza kucheza katika timu yake ya Taifa linaweza kuwa pigo kubwa zaidi kwa Taifa hilo ambalo pia ndio washindi wa mashindano ya Afrika ya Africa Cup of Nations.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up