Lyrics

"Wakati kukiwa na mitazamo pamoja na migongano mbalimbali kuhusiana na kombe la dunia Rais wa shirikisho la soka duniani FIFA Gianni Infantino ametoa waraka wa maelezo kwa nchi 32 zinazoshiriki kombe la dunia kwa kuzitaka ziendelee kujikita katika kombe la dunia na kuachana na mitazamo hiyo pamoja na mitafaruko ambayo inakinzana.

Maelezo hayo yaliyoandikwa kwa washiriki hao wa kombe la dunia yametolewa ikiwa zimebaki siku chache kwa kombe la dunia kuanza kutimua vumbi mwishoni mwa mwezi Novemba huko nchini Qatar na kikubwa alichokisisitiza ni usawa pamoja na amani kwa washiriki.

Infantino katika maelezo yake aliandika ya kuwa’ ….tunatambua ya kuwa kuna changamoto pamoja na magumu mengi yanayoendelea katika siasa duniani… ‘…..tafadhali tusiruhusu kuuingiza mpira katika mitazamo pamoja na vita vya kisiasa vinavyoendelea…’
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up