Lyrics

"Kuelekea kombe la dunia litakalofanyika mwishoni mwa mwezi Novemba mpaka Disemba, timu ya Taifa ya Ufaransa ambao pia ni washindi wa kombe la dunia lililopita lililofanyika Urusi wameendelea kuongeza majeruhi katika kikosi chao baada ya kiungo Paul Pogba anayekipiga huko Juventus pia kuthibitishwa kupata majeruhi.

Meneja wa mchezaji huyo anajejulikana kama Rafael Pimenta amethibitisha taarifa hizo za mchezaji huyo kupata majeraha na kuwa Pogba atakuwa nje akiendelea kuuguza majeraha yake ya upasuaji na pia hatoweza kushiriki kombe la dunia la dunia linalotarajiwa kuanza hivi karibuni huko Qatar

Baada ya Pogba kuongezeka katika kikosi cha majeruhi ni uthibitisho wa kuwa hili ni pigo lingine kubwa kwa kocha wa Ufaransa Didier Deschamps mara baada ya Raphael Varane kupata majeraha ya goti wakati Manchester United walipokuwa wakicheza na Chelsea.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up