Lyrics

"Nyota wa soka anayekichapa kuko Serie A akiwa na Inter Milan, Romelu Lukaku amethibitishwa kupata majeraha katika wakati huu ambao Kombe wa dunia likibakiza siku chache kuanza kutimua vumbi huko Qatar kuanzia mwezi Novemba mpaka Disemba mwaka huu.

Mchezaji huyo mwenye miaka ishirini na tisa amerejea tena katika majeraha mara baada ya kukaa nje miezi miwili na sasa baada ya michezo miwili pekee ya Inter waliyocheza dhidi ya Viktoria Plzen katika hatua za makundi Ligi ya mabingwa Ulaya pamoja na mchezo wao dhidi ya Sampdoria Lukaku anarejea tena benchi na bado taarifa za muda wake wa kutibu jeraha hilo haujatambulika mpaka sasa.

Kwa sasa Lukaku katika timu ya Taifa ya Ufaransa ndio moja ya machaguo ya kwanza katika safu ya mashambulizi ambayo inauwezekano mkubwa sana wa kumkosa katika kombe la dunia, pia huenda majeraha hayo ya paja ya mchezaji huyo yakaleta pengo kubwa kwa mwalimu wa timu hiyo ya Taifa ya Ubelgiji Roberto Martinez.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up