Lyrics

"Mchezaji wa timu ya Paris Saint Germain ya Ufaransa Kylian Mbappe amezua mjadala tena katika vyombo vya habari baada tetesi za kutaka kuondoka klabuni hapo kurejea tena. Taarifa hizo zimerejea tena baada ya Mbappe kuongeza mkataba wake na klabu hiyo miezi mitano iliyopita.

Mchezaji huyo mwenye miaka 23 inasemekana kuwa chanzo cha kutaka kuondoka katika klabu hiyo ya PSG ni kuwa uongozi wa klabu hiyo unaenda kinyume na makubaliano ya mkataba wao pamoja na makubaliano waliyoyaingia na mchezaji huyo katika mkataba huo uliosainiwa mwezi wa tano.

Mbappe anasemekana kuutuhumu uongozi huo wa PSG kwa kushindwa kuyafikia matakwa waliyokubaliana hivyo basi kuna uwezekano wa Mbappe kuondoka katika klabu hiyo katika dirisha la mwezi Januari na kwa sasa yuko tayari kwenda katika klabu yoyote itakayokubaliana na menejiment yake.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up