Lyrics

"Mshindi mara tano wa tuzo za Ballon D’or na mshambuliaji wa timu ya Manchester United Cristiano Ronaldo ameweza kujiwekea rekodi katika maisha yake ya soka baada ya kufanikiwa kufunga mabao mia saba ndani ya uwanja wa mpira akiwa na vilabu tofauti tofauti.

Ronaldo mwenye miaka thelathini na saba amefanikiwa kufunga mabao hayo akiwa na vilabu vinne tofauti vya soka ambavyo ni Sporting CP mabao matano, mabao mia moja kumi na nane akiwa na United kwa mara ya kwanza kabla ya kuhamia Real Madrid na kufunga mabao mia nne na hamsini, Juventus mabao mia moja na moja na sasa kwa mara nyingine tena akiwa na United ameweza kufunga mabao 26 tangu ajiunge na timu hiyo hapo msimu uliopita.

Katika maisha hayo ya soka na mabao hayo aliyoyafunga CR7 ameweza kunyakua vikombe mbalimbali katika ligi hizo nne pendwa zaidi duniani na hata katika mashindano ya kimataifa kama vile ubingwa wa Uingereza, ubingwa wa La liga, Ubingwa wa Serie A, Ubingwa wa Ulaya pamoja na vikombe vya ndani vya ligi hizo.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up