Lyrics

"Baada ya mechi za kimataifa kukamilisha mzunguko wake Inter Milan wanaenda kumenyama na As Roma katika uwanja wa Giuseppe Meazza na huu ni mzunguko wa nane wa Serie A ligi ya huku Italia.

Simone Inzaghi anaingia na kikosi chake cha Inter lakini katika mchezo huo kuna uwezekano wa kumkosa mlinda mlango Alex Cordaz pamoja na kiungo Marcelo Brozovic anayetarajiwa kurejea katikati ya mwezi wa Octoba kwa shida ya misuli ya paja.

Kwa upande wake Jose Mourinho yeye bado ataikosa huduma ya Georginio Wijnaldum mpaka mwakani mwezi wa Januari. Rick Karsdorp naye ataendelea kukaa nje ya uwanja mpaka mwezi wa Decemba huku Ebrima Darboe yeye anaweza kurudi dimbani muda wowote baada ya kukaa nje kwa majeraha ya goti.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up