Lyrics

"Tamasha la Super Bowl la nchini USA sasa limebadilisha mdhamini na nafasi hiyo kuchukuliwa na APPLE MUSIC kama wadhamini wa tamasha hilo mara ya PEPSI kuyabwaga manyanga mwezi wa Februari. Pepsi walikuwa wadhamini wakuu wa mapumziko hayo na wasanii mbalimbali walipanda jukwaani na kutumbuiza mbele ya mashabiki wao.

Hatua hii imekuja mara baada ya miaka tisa ya Pepsi kusimamia tamasha hilo kama mdhamini mkuu wa SUPER BOWL HALF TIME kufikia tamati na Apple Music kuchukua nafasi hiyo ya kusimania mapumziko hayo ya Super Bowl ukiwa ni moja kati ya michezo pendwa zaidi huko nchini Marekani.

Kwa msimu uliopita wa mwaka 2021-2022 tuzo ya mchezaji bora wa Super Bowl ilichukuliwa na Cooper Kupp, Pia timu ya Los Angeles Rams ndio walioibuka washindi dhidi ya Cincinnati Bengals katika ligi inayojulikana kama National Football League (NFL).
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up