Lyrics

"Graham Potter amesainiwa rasmi kuwa kocha katika kikosi Cha Chelsea. Hatua hii imekuja Mara baada ya aliyekuwa kocha wa timu hiyo Thomas Tuchel kutimuliwa mapema Jumatano ya wiki hii.

Kocha huyo raia wa Uingereza ameingia makubaliano na Chelsea akitokea Brighton and Hove Albion kwa mkataba wa miaka mitano wenye thamani ya Paundi milioni 50.

Siku ya Alhamisi mchana Potter akiwasili katika viunga vya mazoezi vya Chelsea na kusaini mkataba huo. Mkataba huo umekamilika baada ya Chelsea kukubaliana na Brighton kuwalipa kiasi cha Paundi milioni 16 ili kocha huyo aweza kujiunga na wababe hao wa London huko Stamford bridge.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up