Lyrics

"Baada ya purukushani za nenda rudi kuhusiana na usajili wa mchezaji Antony Matheus dos Santos hatimaye Sasa mchakato wa usajili wake umekamilika huko Old Trafford.

Mbrazili huyo aliyekuwa na nia ya kwenda United, taarifa ziliripoti kuhusu menejimenti ya Ajax kutotaka ajiunge na United na kufanya hata kupandishwa kwa dau la usajili wake.

Antony baada ya kuona Ajax wanambania akaamua kuonesha vipingamizi ikiwemo kususia mazoezi pamoja na baadhi ya mechi za timu hiyo ya huko Eredivisie side. Hakuishia hapo Antony aliomba mahojiano na Fabrizio Romano na kueleza hisia zake na jitihada za kutaka kuondoka Ajax licha ya kuwekewa vipingamizi.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up