Lyrics

"Siku ya Alhamisi tuzo za UEFA zimetolewa huko Instanibul Uturuki. Real Madrid wameendelea kung'ara katika tuzo hizo baada ya kunyakua tuzo zinazotolewa na mabingwa wa Ulaya ( UEFA Champions). Wafuatao ni washindi wa tuzo hizo za mabingwa wa Ulaya katika vipengele mbalimbali.

Tuzo ya mchezaji Bora wa kiume wa mwaka.
Karim Benzema ndiye aliyebeba tuzo hii kwa mchango wake akiwa Real Madrid pamoja michuano ya kimataifa. Mshambuliaji huyo kutokea Ufaransa amekuwa na jumla ya mabao 42 Katika michuano yote na katika ubingwa wa Ulaya Benzema ndiye kinara wa mabao kwa kuweka kambani jumla ya magoli 15 katika michuano hiyo ya Ulaya na kuifanikisha Madrid kuchukua ubingwa kwa Mara ya 14.
Benzema ameweza kumpiku Kevin de Bruyne wa Manchester City pamoja na Thibaut Courtois ambaye pia ni mlinda mlango wa Madrid.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up