Lyrics

"Tukiwa tayari tumeianza wiki katika harakati mbalimbali, matukio ya kisoka nayo tayari wameshashika vichwa vya habari duniani kote. Moja ya matukio hayo ni hatma ya mshambuliaji wa kimataifa kutokea Ureno ambaye kwa Sasa anakipiga katika klabu ya Manchester United. Swali kubwa kwa mashabiki ni ipi hatma yake huku uongozi wa United ukiwa bado unamuhitaji?

Manchester United wameendelea na ziara zao za kisoka katika nchi mbalimbali. Lakini mshambuliaji wa timu hiyo Cristiano Ronaldo akitoa udhuru ya kuwa na matatizo ya kifamilia na kutoshiriki mechi hizo.

Lakini kwa wadau wa soka wakavumbua mambo na kusema mchezaji huyo hataki Tena kuwa moja ya wachezaji wa timu hiyo. Hili limekuja baada ya timu hiyo kushindwa kushiriki mashindano ya UEFA Champions League.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up