Lyrics

"Huko nchini Australia bado kikosi Cha Manchester United linaendelea na mechi za kabla ya msimu. Sasa United wanavaana na Crystal Palace katika mechi itakayochezwa uwanja wa Melbourne Cricket.

Mechi hizi za kirafiki zimekuwa neema kwa The red devils. Hili limekuja Mara baada ya vijana hao wa Ten Hag kuchomoa katika mechi zao mbili za hivi karibuni. Mechi hizo zilimkutanisha United na Liverpool huko Bangkok na United kushinda bao 4-0.

Mechi ya pili United alikutana na Melbourne Victory na kuondoka na ushindi wa bao 4-1 huko Australia walipoweka kambi.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up