- 3:42
Ifahamu Klabu ya SIMBA Sports club ya nchini Tanzania
Swahili Football predictions ✔️ - Mdundo Alt
Lyrics
"Baada ya kusitisha mkataba wake na kumtimua aliyekuwa na kocha wao Pablo Martin Sasa klabu ya Soka ya nchini Tanzania Simba Sc imeanza kuingia sokoni na kusaka wachezaji watakao husika na kikosi hicho kwa msimu ujao wa 2022/23, Mkakati huu ulipangwa na kocha huyo pamoja na menejimenti ya timu hiyo na mmoja wa wachezaji hao ni mshambuliaji ambaye atatoka nje ya nchi na Sasa ni Mzambia Mmali Allasane Diarra, na Hilo linaweza kutokana kuonekana kwa dalili za klabu hiyo kuonesha kunyang'anywa ubingwa kwa msimu huu na mahasimu wa Young African Sports club.KUANZISHWA KWA KLABU YA SIMBA SC.
Simba sports Club ni timu ya mpira wa miguu iliyoanzishwa mwaka 1936 ambayo iligawanyika kutoka kwa Young African Sports club kwa Sasa wakiwa watani wa jadi. Simba sports Clubs alimaarufu Kama Wekundu wa msimbazi wakati wa kuanzishwa kwake ilijulikana Kama Eagles na baadaye wakabadili jina na kujiita Sunderland na ilipojiri mwaka 1971 ndipo wakaamua kubadili jina na kujiita Simba Sports club na ""NGUVU MOJA"" ndiyo kauli mbiu yao.
View more
Discover more artists
More songs by Swahili Football predictions ✔️ - Mdundo Alt
- Uchambuzi Mechi ya Simba Vs Yanga-ASFC1:28
- Simba Sc, Yanga SC zawaka michuano ya kimataifa0:59
- Yanga SC Vs Ihefu Sc Ubashiri1:35
- Aziz Ki, Morrison waibeba Yanga1:04
- FAINALI KLABU BINGWA -SAFARI #MdundoKandanda3:10
- Upekee wa Jezi mpya za timu ya Yanga2:46
- Azam vs Simba - Jumatano1:22
- Uchambuzi Mechi ya Simba Vs Yanga- Ngao ya jamii1:28
- Yanga yatinga Nusu fainali, Simba Yaaga mashindano CAF1:34
- MDUNDO SPORTS- KENYAN SPORT5:20
- Washindi Tuzo za Kombe la Shirikisho Africa - CAF2:57
- Liverpool Vs Real Madrid UEFA FINAL1:22
- CAF Club Awards - Sports Highlights1:00
- Simba Youth Tanzania yapata wadhamini wapya1:21
- Simba, Yanga washindwa kung'ara kimataifa1:46
- George Mpole kinara wa mabao NBC Premier League1:38
- Taifa Stars na donge nono AFCONS1:02
- Sierra Leone yaweka historia0:27
- Uchambuzi mechi ya Simba Sc Vs Primeiro De Agosto1:55
News
Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.
By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.
Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.